Friday, February 3, 2017

MSIMAMO WA LIGI KUU ENGLAND ULIVYO KWA SASA: PosLogo &TeamPWDLGDPts 1Chelsea2318233256 2Tottenham Hotspur2313822947 3Arsenal2314542647 4Liverpool2313732446 5Manchester City2314451946 6Manchester United2311931242 7Everton2310761037 8West Bromwich Albion23968233 9Stoke City23788-629 10Burnley239212-829 11West Ham United238411-1128 12Southampton237610-527 13Watford237610-1227 14Bournemouth237511-926 15Middlesbrough234910-721 16Leicester...
EGYPT wametinga Fainali ya AFCON 2017, Kombe la Mataifa ya Afrika, nah ii ni mara yao ya 9 kufanya hilo na kuikuta Rekodi ya kucheza Fainali nyingi baada ya Jana huko Stade de I'Amitie, Libreville Nchini Gabon kuibwaga Burkina Faso 4-3 kwa Mikwaju ya Penati Tano Tano kufuatia Sare ya 1-1 katika Dakika 120. Kipa Vterani wa Egypt, Essam El Hadary, mwenye Miaka 44, ndie alikuwa Shujaa kwa...
2-1Mabingwa Watetezi wa Kombe la Mfalme wa Spain, Copa del Rey, Barcelona usiku  wameichapa Atletico Madrid Bao 2-1 huko Estadio Vicente Calderon Jijini Madrid katika Mechi ya Kwanza ya Nusu Fainali. Timu hizi zitarudiana Wiki ijayo huko Nou Camp na Mshindi kucheza na Mshindi wa Nusu Fainali nyingine kati ya Deportivo Alaves na Celta Vigo ambao Leo wanacheza Mechi yao ya Kwanza....
Ligi Kuu England imeendelea Jana kwa Mechi 3 na Manchester City kuibuka washindi wakubwa kwa kuicharaza West Ham 4-0 wakati Manchester United ikitoka 0-0 na Hull City na Stoke City na Everton kutoka 1-1. Huko London Stadium Jijini London, Wenyeji West Ham walibandikwa Bao 4-0 na Man City kwa Bao za Kevin De Bruyne, David Silva, Gabriel Jesus na Yaya Toure. Matokeo hayo yamewabakisha City Nafasi...
Emmanuel Adebayor amejiunga na Timu ya Istanbul Basakseh...

waliotembelea blog