
Matarajio yalikuwa ni kwamba Steven Gerrard atarejea
Liverpool kwa mkopo Mei, mwakani.
Lakini inaonekana hilo halitakuwepo na kiungo huyo nyota wa
zamani wa Liverpool, mwenye miaka 35 sasa, ataendelea kubaki na klabu yake mpya
ya LA Galaxy.
Kawaida wachezaji wengi wanaokwenda kucheza Marekani
wamekuwa wakirejea England kwa mkopo.
Lakini Kamishna wa Ligi Kuu Marekani (MLS),...