Thursday, April 23, 2015

Usiku huu EUROPA LIGI watakamilisha Mechi zao za Marudiano za Robo Fainali na Timu 4 Washindi zitaingizwa kwenye Droo ya kupanga Mechi za Nusu Fainali ambayo pia ni huru bila kujali Utaifa. Mechi za Nusu Fainali za EUROPA LIGI zitachezwa Mei 7 na 14 ni Marudiano. Kocha wa Napoli Rafael Benítez akiteta na Gökhan Inler MazoeziniKocha wa Napoli Rafael BenítezKocha wa Napoli Rafael Benítez(kulia)...
Ijumaa Aprili 24 Mchana huko Nyon, Uswisi kwenye Makao Makuu yao, UEFA itaendesha Droo maalum za kupanga Mechi za Nusu Fainali za Mashindano yao makubwa kwa Klabu za Ulaya yale ya UEFA CHAMPIONS LIGI na EUROPA LIGI. Jana UEFA CHAMPIONS LIGI ilikamilisha Mechi zao za Marudiano za Robo Famili na Timu 4 zimetinga Nusu Fainali. Timu hizo 4 ni Mabingwa Watetezi Real Madrid na wenzao wa Spain,...
Wachezaji wa Simba wakishangailia baada ya kupata bao. Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akipokea mpira kutoka kwa mwamuzi, Jacob Odongo kutoka Mkoa wa Mara baada ya kufunga 'hat trick' katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Mgambo Shooting mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa. Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akimtoka beki wa Mgambo Shooting, Bashiru Chanache...

waliotembelea blog