
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa kuamkia leo ametunuku nishani na
Tuzo kwa viongozi mbalimbali wa kitaifa na watumishi wa umma wapatao 86
waliotoa mchango wao katika kuulinda na kuudumisha muungano wa
Tanganyika na Zanzibar uliodumu kwa miaka Hamsini 50.
Mama
Maria Nyerere akipokea nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya
Muungano(Order) kwa niaba ya Marehemu Baba wa Taifa...