Wednesday, January 11, 2017

 Rais Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe  na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka pamoja na Waziri wa Ujenzi Profesa Makame Mbarawa kuashiria ufunguzi wa barabara ya Barabara ya Bariadi-Lamadi yenye kilometa 71.8.  Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiweka jiwe la ufunguzi wa barabara ya Bariadi-Lamadi yenye kilometa 71.8 wengine katika picha ni  Mkuu ...
Tiemoue Bakayoko kusajiliwa na Man United? ...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (Kushoto) akikabidhi Bendera ya Taifa kwa Mwanamuziki wa nyimbo za Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ Dar es Salaam leo, kabla ya kwenda kuliwakilisha Taifa kwa kufanya shoo wakati wa ufunguzi wa michuano ya Soka Barani Afrika (AFCON 2017). Wapili kulia ni Balozi wa DStv, Lucas Mhavile ‘Joti’. You might also like: ...
MASHINDANO ya Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON 2017, yataanza Jumamosi Januari 14 huko Gabon na kushirikisha Nchi 16 zilizogawanywa Makundi Manne ya Timu 4 kila moja. AFCON, ambayo Fainali yake itakuwa Februari 5, itachezwa kwenye Viwanja Vinne vya Miji ya Libreville, Franceville, Oyem na Port Gentil. Viwanja vitakavyotumika ni Stade de l’Amitié huko Libreville, Gabon, unaochukua Watu...
HABARI toka England zimebaini kuwa Klabu za Manchester United na Everton zimeafikiana Ada ya Uhamisho ya Pauni Milioni 22 kwa Kiungo Morgan Schneiderlin. Schneiderlin, mwenye Miaka 27, alisaini Manchester United kutoka Southampton kwa Dau la Pauni Milioni 25 Julai 2015 kwenye wakati wa himaya ya Meneja Louis van Gaal. Kiungo huyo wa Kimataifa wa France ameichezea Man United Mechi 47...
EFL CUP Nusu Fainali Ratiba/Matokeo: Jumanne Januari 10 Manchester United 2 Hull City 0 Jumatano Januari 11 22:45 Southampton V Liverpool Manchester United, ikiongozwa na MenejaJose Mourinho, wamepiga hatua kubwa kuelekea kutwaa Taji kubwa la pili Msimu huu baada ya Jana huko kwao Old Trafford kuichapa Hull City 2-0 katika Mechi ya Kwanza ya Nusu Fainali ya EFL CUP, ambalo ndio Kombe la...
Nusu Fainali ya Pili ya Kombe la Mapinduzi ambayo ni Mashindano ya kuenzi Miaka 53 ya Mapinduzi Tukufu ya Visiwa vya Zanzibar na Pemba, iliyokuwa Bigi Mechi, Dabi ya Kariakoo iliyohamia Amaan Stadium Zanzibar. Ilichezwa Usiku na Simba na Yanga kutoka 0-0 katika Dakika 90 lakini Simba kuibuka kidedea kwa Mikwaju ya Penati 4-2 na kutinga Fainali watakayocheza na Azam FC. Katika Nusu Fainali...
Mabingwa Watetezi wa Kombe la Mapinduzi Cup URA, kutoka Nchini Uganda wakiwa na butwaa baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Timu ya Taifa ya Jangombe katika mchezo wao wa mwisho kuwania kucheza nusu fainali ya michuano hiyo ya 11 ya Mapinduzi Cup inayofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya Taifa ya Jangombe itaungana na Timu za Yanga, Simba na Azam katika mchezo...
FAINALI za Kombe la Dunia zitapanuliwa na kushirikisha Nchi 48 kutoka 32 za hivi sasa. Mabadiliko hayo yamepitishwa Leo huko Zurich, Uswisi kwa Kura nyingi na yataanza kwenye Fainali za Mwaka 2026 ambazo bado hazijapata Mwenyeji. Fainali zijazo zitachezwa huko Russia Mwaka 2018 na zinazofuata ni huko Qatar Mwaka 2022 na zote zitakuwa na Timu 32 tu. Kwenye Mfumo wa Timu 48 kwenye Fainali,...

waliotembelea blog