Klabu ya Chelsea ya Uingereza
ambayo hadi hivi sasa bado imewekeza nguvu nyingi za kusajili ili
kuboresha kikosi chake na kulinda ubingwa wa Ligi Kuu Uingereza ambao
wenyewe ndio Mabingwa watetezi wa Kombe hilo, klabu ya Chelsea baada ya kumsajili Pedro August 22 ilithibitisha kumsajili kinda wa Kibrazil.
Chelsea kupitia katika account yake ya twitter imethibitisha kumsajili kinda wa...
Subscribe to:
Posts (Atom)