Thursday, January 9, 2014

Manchester City wakiwa kwao Etihad kucheza na West Ham katika Ligi ya Capital One Cup wameanza kupata bao lao dakika ya 12, Bao likifungwa na Álvaro Negredo na kufanya 1-0 dhidi ya West Ham United.Dakika ya 26  Álvaro Negredo anapewa pasi safi na kukimbia na mpira na kuifungia tena Manchester City bao la pili. Dakika ya 40 Yaya Toure akaongeza bao la tatu na kufanya 3-0 dhidi ya West...

waliotembelea blog