Thursday, August 20, 2015

Fowadi wa Barcelona Pedro sasa atahamia Chelsea baada ya Klabu hiyo kukubali kulipa Pauni Milioni 22 kwa mkupuo kitu ambacho Manchester United waligomea kulipa. Kwa muda mrefu iliaminika kuwa Pedro atatua Old Trafford huku kukiripotiwa kuwa tayari ameshaafikiana maslahi yake binafsi lakini kusita kwa Man United kulipa kwa mkupuo mmoja Dau ambalo Barca walikuwa wakitaka kumetoa mwanya...
Kiungo wa kimataifa wa Cameroon ambaye amewahi kuichezea klabu ya Arsenal ya Uingereza kwa muda mrefu kabla ya kutimkia FC Barcelona ya Hispania Alex Song na msimu uliopita kuitumikia klabu ya West Ham United ya London kwa mkopo akitokea FC Barcelona amepoteza matumaini ya kuendelea na West Ham United. Song alikuwa na matumaini ya kubakia katika kikosi hicho baada ya kuwa hana namba...
Baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu golikipa mkongwe na mahiri Juma Kaseja kuwa bila timu na kuhusishwa kujiunga na vilabu mbalimbali hatimaye uvumi huo umemalizika August 19 baada ya kusaini mkataba wa miezi sita wa kuitumikia klabu ya Mbeya City kutoka Jijini Mbeya. Mkataba wa Juma Kaseja wa kujiunga na klabu ya Mbeya City umesainiwa August 19 mbele ya meneja wake mpya Athumani...

waliotembelea blog