Leo
Messi amefunga magoli matatu kwenye mechi kati ya Barcelona na Osasuna,
magoli haya yamemfanya afikishe jumla ya magoli 371 akiwa na Barcelona
na kumfanya awe mfungaji bora wa klabu hiyo. Kabla ya mechi ya
leo Paulino Alcantara ndiye alikuwa mchezaji aliyefunga magoli mengi
kuliko wote lakini magoli matatu ya Messi yamemfanya Muargentina huyu
kuwa kinara wa kufunga magoli kwenye...
Monday, March 17, 2014


Wachezaji
wa Galatasaray wakiongozwa na Didier Drogba wakiwasili nchini England
tayari kukipiga na Chelsea siku ya jumanne kwenye michuano ya Uefa
champions. Timu ya Galatasaray iliwasili mida ya kumi jioni jumapili
kwenye uwanja wa ndege wa Heathrow na kupokelewa na kundi kubwa la
mashabiki waliokuwa wamekusanyika kwenye uwanja. Mechi baina ya timu
hizi mbili inategemewa...


Steven
Gerard alifunga mikwaju miwili ya penalty na kukosa ya tatu Liverpool
ikiendelea kuimarisha matokeo yake baada ya kuwacharaza mabingwa
watetezi wa ligi ya uingereza Machester United tatu bila katika uga wao
wa nyumbani Old Trafford.
Katika
kile kilichoonekana kama harakati za kushinda taji lao la kwanza tangia
mwaka 1990,Liverpool ilipita mtihani wao kwa kuonyesha mchezo mzuri...
Subscribe to:
Posts (Atom)