Friday, October 18, 2013

1. DIAMOND    KWA ZAIDI YA MIEZI MITATU TIMU NZIMA YA THECHOICE ILIWEZA KUFANYA UTAFITI KWA KINA JUU YA KUFAHAMU WANAMUZIKI WA BONGO FLEVA WENYE MAFANIKIO ZAIDI KUTOKANA NA MUZIKI HUO,TIMU YA THECHOICE IMEWEZA PATA WANAMUZIKI WATANO WENYE MAFANIKIO ZAIDI KUTOKANA NA MUZIKI HUO. NI MSANII ALIYE LETA MAPINDUZI MAKUBWA KATIKA MUZIKI HASAHASA KATIKA SHOW ZA STEJINI YAANI LIVE PERFORMANCE...
STAA wa filamu za Kibongo Wema Sepetu amefunguka kuwa katika maisha yake aliwahi kufanyiwa mambo ya ushirikina(kurogwa) bila kufafanua alirogwa na nani na alipatwa na nini au ugonjwa gani. Wema amefunguka kupitia kipindi chake cha In My Shoes kinachorushwa kila jumatano kupitia East African TV ambapo aliulizwa kama kama anaamini ushirikina upon a kama alishawahi kurogwa ambapo alijibu kuwa...
KUZIMIKA kwa taa katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza juzi kulisababisha ndege ya fastjet kushindwa kutua na kulazimika kurejea jijini Dar es Salaam.Inaelezwa kwamba ndege hiyo iliyopaswa kutua saa 2 usiku kwenye uwanja huo ikitokea jijini Dar es Salaam, ilishindwa  kutua na kulazimika kuzunguka hewani mara tano, hali inayodaiwa kuleta taharuki miongoni mwa abiria.Habari ...
...
Wadau na mashabiki wa mastaa wawili nchini, Wema Sepetu wa Bongo Movie na Nasibu Abdul ‘Diamond’ wa muziki wa kizazi kipya, wamebariki ndoa ya wapenzi hao kwa kusema kuwa ni watu wanaoendana na kutegemeana kwa kiasi kikubwa.Mwanzoni mwa wiki hii, Wema na Diamond walitupia katika kurasa zao za mitandao ya kijamii picha zao, ambazo zinaonekana zilipigwa eneo moja kwa simu moja na hivyo...
Ommy Dimpoz akikamua ndani ya Dar Live. ...Mashabiki wakipagawa na Dimpoz. Joh Makini 'Mwamba wa Kaskazini' akilishambulia jukwaa la Dar Live. Wanenguaji wa Twanga wakionesha manjonjo. Mwamba wa Kigamboni, Bahati Chaz ‘Mr B’ akishusha mistari ya hip hop Dar Live. Masai wa Kigoma akifanya makamuzi. Baadhi ya mashabiki baada ya kupandisha mizuka. Twanga wakikamua stejini.Mwanamuziki wa...

waliotembelea blog