Monday, August 17, 2015

Benteke dakika ya 26 aliiwezesha Liverpool kupata bao la kuongoza katika kipindi cha kwanza, Bao lililowashangaza wapinzani wao AFC Bornemouth wakiduwaa pia wakitegemea refa mshika kibendera wakiona kama ni la kuotea kumbe la! VIKOSI:Liverpool XI: Mignolet, Clyne, Lovren, Skrtel, Gomez, Henderson, Milner, Coutinho, Lallana, Ibe, BentekeLiverpool Akiba: Bogdan, Toure, Firmino, Moreno, Can,...
Katibu mkuu wa Cuf Maalif Seif Shariff Hamad akimlaki mgombea urais kupitia Ukawa Edward Lowassa wakati alipowasiri visiwani Zanzibar kusawaka wadhamini wa kumdhami ikiwa sehemu ya masharti ya kugombea urais katika uchaguzu mkuu oktoba 25 na 26 mwaka huu. Mwenyekiti mwenza wa Ukawa James Mbatia naye akilakiwa na Katibu mkuu wa Cuf Maalif Seif Shariff Hamad l...
YANGA SC imesema kwamba imemsainisha Mkataba wa miaka miwili beki wa kati wa kimataifa wa Togo, Vincent Bossou baada ya kufaulu majaribio. Bossou amefanyiwa majaribio kwa wiki moja katika kambi ya Tukuyu Mbeya, ikiwemo kucheza kwa dakika 45 mchezo wa kirafiki dhidi ya Mbeya City jana Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Katika mchezo huo ambao Yanga SC ilishinda 3-2, Bossou aliondoka uwanjani Yanga...

waliotembelea blog