Bingwa mara tatu Ujerumani na
bingwa mara mbili Argentina zitagombania dola milioni 35 kwenye mechi ya
fainali ya kombe la dunia Jumapili Julai tarehe 13 mjini Rio De
Janeiro.
Shirikisho la kimataifa Fifa limetoa jumla ya dola milioni 576 kushindaniwa kwenye mashindano ya...
Friday, July 11, 2014


KATIKA
fainali za mwaka 1986, Diego Maradona aliifungia Argentina au kutoa
pasi za mwisho katika mabao 10 ya nchi hiyo. Mwaka huu, Messi amefunga
au kutoa pasi katika mabao 8 ya Arggentina. Maradon pia alikabiliana na
Ujerumani (Ujerumani Magharibi kwa wakati huo) katika mchezo wa fainali,
lakini hakufunga goli katika mechi hiy...


Carlos
Queiroz alijiuzulu nafasi yake ya ukocha wa timu ya taifa ya Iran baada
ya nchi hiyo kutolewa hatua ya makundi katika fainali za kombe la dunia
mwaka huu nchini Brazil.
Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Mtandao
0712461976
HAPA tunaangalia kwanini Asia imeshindwa kufanya vizuri katika fainali za kombe la dunia mwaka huu nchini Brazil.
1. UKOSEFU...


Kwenye rada: Beki wa Atletico Madrid, Javi Manquillo anatakiwa na Arsenal.
KLABU ya Arsenal inafanya jitihada za kumsajili beki wa kulia wa Atletico Madrid , Javi Manquillo.
Washika
mtutu hao wa London wanataka kumsajili beki huyo wa Hispania kwa lengo
la kuongeza ushindani katika nafasi ya beki wa kulia msimu ujao.
Kama
watakamilisha usajili huo, basi...


Hisia:
Neymar alimwaga machozi, huku akiweka wazi kuwa alikaribia kuwa kichaa
baada ya Juan Zuniga kumfanyia faulo mbaya kwenye mchezo wa robo fainali
ya kombe la dunia dhidi ya Colombia.
NYOTA wa Brazil, Neymar Jr
amefichua siri kuwa alishindwa kuzuia machozi na alikaribia kuwa kichaa
baada ya kugongwa na Juan Zuniga na kuvunjika mfupa wa uti wa mgongo.
Neymar...


Usajili mzuri: Kuna imani kuwa Asernal wanaweza kufanya makubwa msimu ujao baada ya kumsajili Sanchez.
Maisha
mapya: Alexis Sanchez akipozi katika picha akivalia jezi yake ya
Asernal kama ishara ya kufungua ukurasa mpya wa maisha ya soka.
ARSENAL imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Barcelona, Alexis Sanchez – kwa dau la paundi milioni 30.
Kwa usajili...


Tabasamu
kubwa: Mshambuliaji wa Man City ambaye hajatulia , Alvaro Negredo
akicheka wakati alipokuwa anapenda ndege kwenda Dundee.
KIKOSI
cha mabingwa wa England, Manchester City kimekwea pipa kwenda Dundee
tayari kuanza ziara yao ya maandalizi ya msimu huko Scottish.
Katika
msafara huo, pia umemjumuisha mshamabiliaji ambaye hajatulia kwa sasa,
Alvaro Negredo...


Gwiji: Mourinho (kushoto alimleta Drogba katika klabu ya Chelsea mwaka 2004 akitokea Marseille ya Ufaransa.
KLABU ya Chelsea inaangalia uwezekano wa kumrudisha Didier Drogba katika dimba la Stamford Bridge.
Nyota huyo mwenye miaka 36
anazivutia klabu za Qatar, wakati Juventus nao wakifikiria kumnasa
mkongwe huyo anayecheza katika klabu ya Galatasaray ya Uturuki.
Bado Jose Mourinho...
Subscribe to:
Posts (Atom)