.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Daktari BingwaEdward Schaeffer kutokaHospitali ya Johns Hopkins alipokuwa amelazwa baada ya kufanyiwaupasuaji wa kuondoa tezi dume mwishoni mwa wiki iliyopita baada yakupata nafuu.Kulia nia Mke wa Rais Mama Salma Kikwete. Hali ya RaisKikwete imezidi kuimarika baada ya kutoka wodini na kuwa mapumzikoniakiuguza kidonda kilichotokana na upasuaji...
Saturday, November 15, 2014



Wafanyakazi wa Kampuni ya Mafuta ya ENGEN Tanzania leo Novemba 14,2014 wameungana na wafanyakazi wenzao Barani Afrika kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 21 ya kuanzishwa kwa Kampuni hiyo,ambayo husherehekewa kila Mwaka ifikapo tarehe kama ya leo.Engeni ni Kampuni iliyojikita katika uuzaji wa Mafuta bora ndani na nje ya Tanzania,huku ikiendelea kujivunia kwa Ubora wake.Pichani ni Sehemu ya Wafanyakazi...


Rais wa shirikisho la soka barani afrika Issa HayatouTaifa la Equitorial Guinea ndilo litakaloandaa michuano ya dimba la mataifa ya Afrika mwaka 2015.Kulingana na shirikisho la soka barani Afrika, taifa hilo limetajwa baada ya Morrocco kukataa kuandaa michezo hiyo kutokana na hofu ya kusambaa kwa ugonjwa wa Ebola nchini humo.Morrocco ilikuwa imeiomba CAF kuahirisha dimba hilo la January 17...


David Moyes, Meneja alietimuliwa Manchester United Mwezi Aprili Mwaka huu, ametua rasmi huko San Sebastián Nchini Spain kujiunga na Real Sociedad kama Meneja wao mpya.Mara baada ya kutua kwenye Klabu hiyo ya La Liga ambayo Jina lake la ubatizo ni La Real, Moyes alikiri kuwa kabla hajakubali rasmi kujiunga na Real Sociedad alimtaka ushauri Sir Alex Ferguson ambae alimbariki kuchukua nafasi...


Pichani Kutoka kushoto ni Bella Kombo akiongoza mashambulizi ya jukwaa akipewa sapoti na Digna Mbepera(katikati) na kwa mbaliiiii ni Aneth kushaba.Kama kawaida yetu inapofika mwishoni mwa juma yaani Ijumaa huwa inakuwa ni siku ya furaha na kubadilishana mawazo, kupunguza stress za kazini.....paleee Thai Village Masaki.Kwenye Jukwaa Bendi yako matata na inayotikisa Tanzania na Jiji la...
Subscribe to:
Posts (Atom)