Manchester
United imekubaliana na AS Monaco ya France kumsaini Straika wa Colombia
Radamel Falcao kwa Mkopo na wakati huo huo Straika wao Javier Hernandez
anahamia Real Madrid ya Spain pia wa Mkopo. Falcao anatarajiwa kuwasili Jijini Manchester kupimwa afya yake na tayari Chicharito nae yuko huko Madrid kupimwa afya. Falcao
alijiunga na AS Monaco Mei 2013 kwa Dau la Pauni Milioni 50 kutoka...
Monday, September 1, 2014



Gari ya Polisi iliyoibuka kumuokoa Diamond kufuatia sakata la mashabiki wake kupandwa na jazba
Sehemu ya ukumbi ulioharibiwa vibaya na washabiki mjini stuttgart,ujerumani Stuttgart,Ujerumani, Usiku wa Jumamosi ya Tarehe 30.Augost 2014, majira ya saa 10 alfajiri
Mwanamuziki nyota wa Bongo Flaver Nasib Abdul aka Diamond Platnumz
alijikuta katika hali ya hatari hadi kuokolewa...


KLABU
ya Manchester United imeshinda mbio za kuwania saini ya mshambuliaji
Radamel Falcao kutoka Monaco kwa mkopo wa mwaka mmoja. Mpachika
mabao huyo ataigharimu klabu hiyo ya Old Trafford Pauni Milioni 12
kwenda kuungana na Angel di Maria, Daley Blind, Luke Shaw, Ander Herrera
na Marcos Rojo katika orodha ya wachezaji wapya kwenye kikosi cha Louis
van Gaal.
Mchezaji
huyo wa kimataifa...



Beki wa kati wa klabu ya Arsenal
Laurent Koscielny ameondolewa katika kikosi chake cha cha timu ya taifa kwa
sababubu ya majeraha ya kichwa yaliyompata baada ya hapo jana kugangana na
mchezaji wa klabu ya Leicester City,Jeffrey Schlupp katika mchezo uliofanyika
dimani King Power na timu zote kutoka sare ya goli 1-1.
Koscienly
akipoke matibabu uwanjani mara baada ya kugongana kichwa...
Subscribe to:
Posts (Atom)