LIGI KUU ENGLAND:
Jumamosi Novemba 28 1800 Aston Villa v Watford 1800 Bournemouth v Everton 1800 Crystal Palace v Newcastle 1800 Man City v Southampton 1800 Sunderland v Stoke 2030 Leicester v Man United Jumapili Novemba 29 1500 Tottenham v Chelsea 1705 West Ham v West Brom 1915 Liverpool v Swansea 1915 Norwich v Arsenal...
Saturday, November 28, 2015


Kocha wa klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani ambaye amewahi kuifundisha kwa mafanikio klabu ya FC Barcelona ya Hispania Pep Guardiola amekuwa akihusishwa kutakiwa kujiunga na klabu ya Manchester City ya Uingereza kwa muda mrefu sasa ila November 27 ameingia tena katika headlines kuhusiana na mpango huo.
Headlines za kocha huyo kuwa njiani...


November 27 mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee vitu vitatu exclusive usivyovifahamu kutoka kwa staa wa soka wa Tanzania aliyewahi kutamba na vilabu vya Simba na Yanga Danny Mrwanda, wengi tumezoea kumsikia na kumuona akipachika magoli uwanjani ila November 27 ana majibu matatu kuhusu maisha yake ya soka.
1- Kama ulikuwa hufahamu Danny Mrwanda
...


Bado watu wengi wanaogopa jiji la Paris Ufaransa kutokana na hali ya kiusalama kuaminika kuwa ndogo, Paris
iliingia katika headlines November 13 2015 baada ya kufanyika shambulio
la kigaidi, tukio ambalo lilifanya baadhi ya wachezaji wa Paris Saint Germain kuogopa kurejea Paris kutokana na kuhofia usalama wa maisha yao.
Tukio la shambulio la...


Hii ni kwa watu wangu wa nguvu wapenda soka la Ulaya, Ligi Kuu soka Tanzania
bara imesimama ila barani Ulaya Ligi bado zinaendelea kama kawaida,
Ligi Kuu Uingereza inaendelea tena Jumamosi ya November 28 na Jumapili
ya November 29 sawa na Ligi Kuu Hispania (LALIGA). Hispania itachezwa michezo tisa weekend hii wakati Uingereza itachezwa michezo...


Licha ya kuwa mwaka 2015 staa wa kimataifa wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo kufanya mipango yake mingi na kwa asilimia kubwa kufanikiwa, miongoni mwa ishu alizofanya Cristiano Ronaldo kwa mwaka 2015 ni kuzindua movie ya maisha yake halisi, perfume, viatu vyake lakini hii sio taarifa njema...
Subscribe to:
Posts (Atom)