
LEO FIFA imetangaza Listi ya Ubora
Duniani na hakuna mabadiliko yeyote kwa Timu 25 za Juu na Spain,
Mabingwa wa Dunia, wakibakiNambari Wani huku Tanzania ikipanda Nafasi
mbili na sasa iko ya 118. Kwa Nchi za Afrika, Ivory Coast ndio iko Nafasi ya juu kabisa ikikamata Nafasi ya 17. Listi nyingine ya Ubora Duniani itatolewa Tarehe 13 Februari 2014.
20 BORA:
1 ...