Sunday, April 19, 2015

Harry akituma salaam kwa mashabikiKane akifunga baoNacer Chadli dakika ya 30 aliifungia bao la kuongoza Spurs kwa kufanya 1-0 dhidi ya Newcastle United. Kipindi cha pili dakika ya 45 walifanya mabadili kwa makini kwa Sammy Ameobi kumbadili Yoan Gouffran na Gabriel Obertan kumbadili Mehdi Abeid na kupata bao dakika ya mapema bao la kusawazisha katika dakika ya 46 kwa kufanya 1-1 bao lililofungwa...
Liverpool wakiongozwa na Nahodha wao Steven Gerrard ambae Leo ni kumbukumbu ya Siku yake ya Kuzaliwa, ndio waliotangulia kufunga kwa Bao la Dakika ya 30 la Philippe Coutinho aliepokea pasi ya Raheem Sterling lakini Dakika 6 baadae Straika wa Aston Villa Christian Benteke alisawazisha Bao hilo baada ya kuikamata pasi safi ya Fabian Delph.Kipindi cha pili dakika ya 54 Fabian Delph aliwafungia...
Sergio Ramos kaifungia bao dakika ya 24 kipindi cha kwanza kufanya 1-0 dhidi ya Malaga. Kipindi cha pili dakika ya 69 James Rodríguez aliifungia bao la pili Real Madrid huku Cristiano Ronaldo akimaliza mchezo huo kwa kufunga bao dakika za majeruhi bao la tatu kwa 3-1 dhidi ya Malaga na kwenye Dakika ya lala salama dakika ya 90. Ronaldo pia alikosa mkwaju wa penati kipindi cha pili katika mchezo...
  Wachezaji wa Chelsea wakishangilia baada ya kuibuka na pointi 3 muhimu dhidi ya Man United.Chelsea ikiwa watashinda Mechi zao 2 zinazofuata basi wao ni Mabingwa.Ubingwa ni wa kwetu!!Fellaini akifanya yake Rooney akipata maelezo juu ya rafu kwa FalcaoJohn Terry akigombea mpira wa kichwa kupitia kona Kocha Jose Mourinho  Ushindi huu umewapa Chelsea uongozi wa Pointi 10 mbele...

waliotembelea blog