Monday, September 23, 2013

Huku hali ya mshikemshike ikiendelea kushuhudiwa katika jengo la Westgate lenye maduka, ufyatulianaji risasi umesikika ndani ya jengo hilo lenye maduka na mikahawa zaidi ya themanini. Milio hiyo ilidumu kwa dakika tatu na kufuatiwa na moshi mkubwa juu ya jengo hilo. Hakuna taarifa kamili kuhusu kilichosababisha moshi huo. Wapiganaji...
MCHEZAJI ghali wa Arsenal, Mesut Ozil ameendelea kulipa Pauni Milioni 43 zilizotolewa kumnunua kutoka Real Madrid baada ya kutoa pasi zote za mabao matatu, The Gunners ikishinda 3-0 Uwanja wa Emirates dhidi ya Stoke City na kupanda kileleni mwa Ligi Kuu ya England. Aaron Ramsey alifunga bao lake la saba msimu huu dakika ya tano baada ya akimalizia mpira wa adhabu uliopigwa na Ozil,...
Huku hali ya mshikemshike ikiendelea kushuhudiwa katika jengo la Westgate lenye maduka, ufyatulianaji risasi umesikika ndani ya jengo hilo lenye maduka na mikahawa zaidi ya themanini. Milio hiyo ilidumu kwa dakika tatu na kufuatiwa na moshi mkubwa juu ya jengo hilo. Hakuna taarifa kamili kuhusu kilichosababisha moshi huo. Wapiganaji wa Al...
Show ndio kwanza imeanza hapa kwenye uwanja wa Kambarage 87.5 Shinyanga mtu wangu ambapo wakali kama Ney wa Mitego, Juma Nature, Linah, Stamina, Young Killer, Dudubaya, Godzilla, Nikki wa II, Joh Makini na G Nako ni baadhi tu ya watakaoonekana kwenye  stage usiku huu hapa Shy Town. ...
Mwandishi Jamal Osman amefanya mahojiano exclusive na msemaji wa kundi la kigaidi la Al-Shabaab kuhusiana na sababu za kuishambulia mall ya Westgate.  Hii ni tafsiri ya Kiswahili ya mahojiano hayo yaliyofanywa kwa Kiingereza kwenye mtandao wa Channel4 Jamal Osman: Kwanini mmefanya shambulio? Msemaji wa Al-Shabaab: Sababu ya kufanya shambulio ni kuwalinda watu wetu na...
Possibility: The idea that Samantha Lewthwaite, 29, of Buckinghamshire, might have ordered the attack - or even led it herself - is not far-fetched at all Last night, as the bodies were still being counted at the shopping mall, one British woman was notably slow to join the condemnation.   For Samantha Lewthwaite, the daughter of a former British soldier...

waliotembelea blog