Wednesday, November 25, 2015

Mpaka dakika 90 zinakatika hakuna mbabe! huku Man United ikipata nafasi nyingi za kufunga na kushindwa kuziona nyavu za wapinzani wao kwenye Uwanja wa Old trafford.DepayMartial akivutwa jezi!Van GaalRooney akiendesha mpiraVIKOSI:Manchester United: De Gea, Darmian, Smalling, Rojo, Blind, Schweinsteiger, Schneiderlin, Lingard, Rooney, Memphis, Martial.Akiba: Romero, McNair, Young, Fellaini,...
Kocha wa klabu ya Arsenal ya Uingereza Arsene Wenger ni miongoni mwa makocha wanaotajwa kuwa wagumu wa kutumia fedha nyingi katika kuwekeza kununua wachezaji na kuboresha kikosi chake, Wenger mara nyingi majina ya wachezaji wakubwa na wanaouzwa kwa gharama za juu huwa anashindwa kuwasajili...
Usiku wa leo kutakuwa na mchezo wa ligi ya mabingwa Ulaya kati ya PSG ya Ufaransa dhidi ya klabu ya Malmo ya Sweden. Zlatan Ibrahimovic atakuwa nyumbani katika mji wa Malmo, Sweden wakati atakapokuwa na timu yake…lakini mashabiki wa nyumbani wameamua kuonyesha heshima kubwa kwake kwa kumkaribisha kwa staili ya aina yake ikiwa ni miaka 14 tangu aihame timu hiyo ya nyumbani. Moja...
Ni mrembo, ana sauti na figure nzuri na kama wewe ni mfuatiliaji wa Coke Studio Africa basi utakuwa unakutana nae kila wiki kwenye ‘mashup’ sessions za Coke Studio na msanii kutoka Nigeria, M.I… hapa namzungumzia Avril staa wa muziki kutoka Kenya. Nimekutana na interview aliyofanya Avril siku...
Band ya Yamoto tayari imeondoka jana usiku kuelekea Marekani tayari kwa ziara yao ya wiki tatu baada ya kupata mwaliko kutoka kwa Watanzania wanaoishi huko. Mkubwa Fella amezungumzia safari hiyo kuwa ni mwaliko walioupata kutoka kwa Watanzania wenzao wanaoishi USA ambapo watakwenda kufanya show...
Oscar Oscar akipetaNyumba inaungua..Willian akipongezwa na CostaMeneja Jose Mourinho Ben alioneshwa na mwamuzi kadi nyekundu hivyo timu yake kucheza pungufu muda woteGary Cahill akijipongezaPongezi1-0Eden Hazard Pedro Patashika..Oscar akijionea mchezaji wa timu pinzani akifanya yakeWillian akishangilia bao Bao za Chelsea zimefungwa na Gary Cahill dakika ya 20' Willian dakika ya 73 na...

waliotembelea blog