Na Baraka
Mpenja, Dar es salaam
Imechapishwa Julai 18, 2014, saa 2:41 asubuhi
WAGONGA
nyundo wa Mbeya, Mbeya City fc wapo katika mkakati mzito wa kurejea na nguvu
mpya kwenye michuano ya ligi kuu, msimu wa 2014/2015 unaotarajia kuanza kushika
kasi septemba 20 mwaka huu.
Klabu
hiyo inayonolewa na kocha maarufu nchini na kocha bora wa msimu uliopita, Juma
Mwambusi ina nia ya kutwaa ubingwa...
Thursday, July 17, 2014


+9
Tangazo rasmi: Arsenal walitangaza hadharani usajili huo kupitia mtandao wake wa Twita ambapo waliweka picha na ujumbe.
Imechapishwa Julai 18, 2014, saa 1:45 asubuhi
KLABU ya Arsenal imemsajili beki wa kulia wa Ufaransa Mathieu Debuchy kutokea klabu ya Newcastle.
Debuchy, mwenye miaka 28, amesajiliwa kwa nia ya kuziba pengo la beki wa kulia, Mfaransa mwenzake, Bacary...


Imechapisha Julai 18, 2014, saa 1:00 asubuhi
NAHODHA wa zamani wa Manchester United na
England, Rio Ferdinand amesaini mkataba wa mwaka mmoja katika klabu ya QPR,
klabu hiyo mpya iliyopanda daraja imethibitisha.
Mtandao wa Goal.com
uliripoti mwezi juni mwaka huu kuwa klabu hiyo iliyopanda ligi kuu ilikuwa na
nia ya kumsaini Ferdinand baada ya kumaliza mkataba na klabu yake ya Man
United.
Ferdinand...



Viongozi
wa klabu ya Azam Fc Mwenye Kiti Saidi Muhamed, Katibu Mkuu Nassoro Idrisa
pamoja na Meneje Jemedali Saidi walipo watembelea Majeruhi Joseph Kimwaga
pamoja na Frank Domayo Katika Hostel za Azam Complex iliyopo chamazi.
Wachezaji hao kwa hivi sasa wanaendelea vizuri baada
ya kupatiwa matibabu Afrika ya kusini...


+3
Mtabakia: Louis van Gaal amesema atawatafutia kazi Paul Scholes na Phil Neville.
Imechapishwa Julai 17, 2014, saa 12:36 jioni
LOUIS van Gaal ameahidi kuwajumuisha Paul Scholes na Phil Neville katika benchi la ufundi la Manchester United.
Mholanzi huyo aliyeanza kazi rasmi United wiki hii amesema atawatafutia kazi ya kufanya katika benchi lake.
Ryan Goggs tayari alishateuliwa...


Bosi mpya: Louis van Gaal alifanya mkutano wake wa kwanza na waandishi wa habari leo tangu ajiunge na Manchester United.
LOUIS van Gaal amesema
Manchester United ni klabu kubwa duniani, lakini inatakiwa kujijenga
upya baada ya kuvurunda msimu uliopita.
Van Gaal amefanya mkutano wake
wa kwanza na waandishi wa habari tangu ajiunge na Man United baada ya
kumaliza...


Usajili mpya na mikataba mipya kwa wachezaji vinara ndio shughuli kuu inayoendelea sasa kabla msimu mpya wa michuano kuanza.
Pamoja na kasheshe zinazomuandama,
Suarez sasa yuko Bacelona 100% baada ya kuihama Liverpool, nae Demba Ba
tayari amewasili Uturuki anakotarajiwa kukamilisha...


Mjumbe
wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF),
Lina Kessy ameteuliwa kuwa Ofisa Michezo wa Umoja wa Afrika (AU).
Uteuzi
huo umefanywa na Mwenyekiti wa Kamisheni ya AU, Nkozasana Dlamini-Zuma,
na Lina atatumikia nafasi hiyo kwa mkataba wa miaka mitatu katika makao
makuu ya AU yaliyopo Addis Ababa, Ethiopia.
Lina
ambaye pia ni Mwenyekiti wa...



Na Boniface Wambura, Dar es salaam
Timu
ya Taifa ya Msumbiji (Mambas) inawasili Dar es Salaam kesho (Julai 18
mwaka huu) kwa ajili ya mechi ya michuano ya Afrika dhidi ya Taifa Stars
itakayochezwa Jumapili, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mambas
itatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) saa 7.30
mchana kwa ndege ya LAM ikiwa na msafara wa watu 37...



Na Boniface Wambura, Dar es salaam
Imechapishwa Julai 17, 2014, saa 8:43 mchana
Kocha
Mkuu wa Serengeti Boys, Hababuu Ali Omari amesema morali ya wachezaji
wake ipo juu kwa ajili ya mechi dhidi ya Afrika Kusini (Amajimbos)
itakayochezwa kesho (Julai 18 mwaka huu).
Mechi
hiyo ya kwanza ya raundi ya pili ya michuano ya Afrika kwa vijana wenye
umri chini ya miaka 17 itafanyika...



Mwinyi Kazimoto Mwitula (kulia) akifanya vitu vyake kwenye moja ya mechi za Taifa Stars siku za nyuma
Na Boniface Wambura, Dar es salaam
Imechapishwa Julai 17, 2014, saa 8:27 mchana
Kikosi
cha Taifa Stars kimerejea jijini Dar es Salaam leo kutoka Mbeya ambapo
Jumapili (Julai 20 mwaka huu) kitapambana na Msumbiji (Mambas) kwenye
Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Benchi
...



Imechapishwa Julai 17, 2014, saa 8:23 mchana
Timu ya Azam Fc leo imepata
ushindi wa magoli mawili kwa moja Dhidi ya Jkt Ruvu katika mchezo wa
kirafiki uliochezwa kwenye Uwanja wa chamazi Complex uliopo chamazi.
Azam ndio walioanza kufunga
magoli hayo kupitia kwa Kavumbagu na Kipre Tchetche kipindi cha kwanza
wakati bao la JKT ruvu likifungwa na Ally Bilali.
Katika Mchezo huo Kocha...



Meneja
wa Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akimkabidhi vifaa Makamu
wa Rais wa Simba SC, Geoffrey Nyange. (Picha: Executive Solutions).
Meneja
wa Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akimkabidhi vifaa
Mkurugenzi wa Masoko wa Yanga, George Simba. Anayeshuhudia ni Hafidh
Saleh, Meneja wa Yanga. (Picha: Executive Solutions).
Meneja
wa Kilimanjaro...


Anaenda Magharibi: Rio Ferdinand anatarajia kujiunga na QPR baada ya kuondoka Manchester United.
Imechapishwa Julai 17, 2014, saa 6:46 mchana
BEKI mkongwe, Rio Ferdinand hatarithi mikoba ya unahodha wa Clint Hill katika klabu ya QPR mara atakapokamilisha uhamisho wake.
Ferdinand anamalizia taratibu za
kujiunga na klabu hiyo ya Magharibi mwa London na anatarajiwa kusaini
mkata...


MARIO Gotze, maisha yanamwendea safi kabisa.
Akitokea kushinda kombe la dunia na
nchi yake ya Ujerumani baada ya kufunga bao la dakika za nyongeza,
mshambuliaji huyo wa Bayern Munich ameanza likizo akiwa na demu wake
kipenzi, Ann-Kathrin Brommel maeneo ya Ibiza.
Wawili hao wamepigwa picha wakifurahia maisha kwenye jua tamu juu ya boti.
Angalau nyota huyo mwenye...
Subscribe to:
Posts (Atom)