Theo Walcott aitanguliza England mbele.Theo akishangilia goli lake usiku huuTheo
Walcott kaifungia England bao dakika ya 45 na kuongoza kwa bao 1-0
dhidi timu ya Estonia, Bao la pili limefungwa na Raheem Sterling dakika
ya 85 na mtanange kumalizika kwa bao Bao 2-0 England wakiibuka na
Ushindi.Sir Bobby Charlton akipata picha ya pamoja na Wayne Rooney baada ya kupewa kiatu cha dhahabu kwa...
Friday, October 9, 2015


Sunderland imemteua Sam Allardyce kuwa Meneja wao mpya kwa Mkataba wa Miaka Miwili. Sunderland
wamekuwa hawana Meneja tangu Jumapili iliyopita baada ya Dick Advocaat
kutimka akiiacha Klabu hiyo ikiwa Nafasi ya Pili toka mkiani mwa Ligi
Kuu England. Advocaat, Raia wa Holland mwenye Miaka 68, aliteuliwa
kushika wadhifa wa Umeneja wa Sunderland Mwezi Machi wakati Timu ikiwa
hatarini kushuka...


Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kinachodhaminiwa na
bia ya Kilimanjaro Premieum Lager kimewasili salama katika mji wa
Blantyre nchini Malawi jioni ya leo tayari kwa mchezo wa marudiano siku
dhidi ya wenyji siku ya jumapili. Stars inayonolewa na makocha
wazawa Charles Boniface Mkwasa na Hemedi Morocco iliondoka leo kwa
usafiri wa shirika la ndege la Fastjet na kuwasili...


Jurgen
Klopp amekubali kuwa Meneja wa Liverpool kwa Mkataba wa Miaka Mitatu
ambao anatarajiwa kuusaini Leo na Ijumaa kuanuliwa rasmi kama Meneja
,pya. Klopp, Mjerumani mwenye Miaka 48, anamrithi Brendan Rodgers
aliefukuzwa Jumapili iliyopita baada ya kudumu Miaka 3 ½ lakini Msimu
huu Timu inasuasua na ipo Nafasi ya 10 kwenye Ligi Kuu England. Klopp amekuwa hana kibarua tangu Mei alipoondoka...



Shirikisho
la Mpira wa Miguu nchini (TFF) leo limeingia mkataba wa miaka mitatu
wenye thamani ya shilingi milioni mia nne hamsini (450,000,000), na
kituo cha luninga cha Star Tv kurusha matangazo ya Ligi Daraja la Kwanza
nchini (FDL). Akiongea na waandishi wa habari wakati wa kusaini
mkataba huo, Rais wa TFF Jamal Malinzi aliishukuru kampuni ya Sahara
Media Group kwa kuamua kuwekeza katika...


Michuano ya mechi za kuwania kufuzu michuano ya Euro 2016 bado inaendelea kwa michezo kadhaa kupigwa, kwa upande wa timu ya taifa ya Ureno ambao walishinda kwa goli 1-0 dhidi ya timu ya taifa ya Denmark . Baada ya ushindi huo Ijumaa ya October 9 Cristiano Ronaldo alipiga picha za mlo wake...


Baada ya klabu ya Liverpool kumfukuza kazi aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Brendan Rodgers
kutokana na mwenendo mbovu wa timu yao, watu mbalimbali katika
uchambuzi wa masuala ya soka wamekuwa wakizungumza mitazamo tofauti
tofauti kuhusiana na maamuzi hayo.
October 9 kocha wa klabu ya Arsenal...
Subscribe to:
Posts (Atom)