Wednesday, February 25, 2015

  2-0 Bao la pili la As Monaco lilifungwa na Berbatov dakika ya 53 na kuwaacha Arsenal wakiduwaa.2-0Emirates!!Ooops ..3-1Watajutaa!! Muuaji wa bao la tatu Yannick Ferreira Carrasco. Kipa wa Arsenal David Ospina akiwa hoi baada ya kushonwa baoFuraha ya Ushindi Ugenini!! 3-1Kiongozi Prince  Albert akishangilia Ushindi mwishoni!! Baada ya timu ya As Monaco kuitoa kamasi Arsenal.Olivier...
Hakan Calhanoglu aliifungia bao pekee na la Ushindi kipindi cha pili dakika ya 57 na Mtanange kumalizika kwa 1-0 dhidi ya Atletico de Madrid usiku huu.Wachezaji wa Bayer Leverkusen wakipongezana.Patashika kipa akiokoa langoni mwake!Kocha wa Atletico de Madrid Diego SimeoneVIKOSI:Bayer Leverkusen: Leno, Hilbert, Papadopoulos, Spahic, Wendell, Castro, Bender, Bellarabi, Calhanoglu,...

waliotembelea blog