Saturday, September 21, 2013

                                         Prezzo during his time in the BBA By Cyrus Ombati ...
Kundi la Wanaume TMK Halisi likiongoza  na msanii nguli Juna Nature wakilishambulia  vyema jukwaa usiku huu kwa staili  yao mapanga shaa shaa,huku mayowe yakipigwa kutoka mashabiki. Kila shabiki alikuwa na mzuka wake. Msanii mwingine anaefanya vyema hivi sasa  katika anga ya muziki wa Bongofleva,Rich Mavoko akiwaimbisha  mashabiki wake usiku huu,mbele  ya...
BAADA ya Chelsea kucheza mechi nne katika mashindano yote bila kupata ushindi, Jose Mourinho ameibuka na kusema chanzo cha yote hayo ni mmiliki wa timu hiyo, Roman Abramovich. Mourinho amesema shauku ya bilionea huyo kutaka kuona timu inatandaza soka ya kuvutia dimbani ndiyo chanzo cha matatizo yote.  “Hatufungi mabao, hiyo ni dhahiri,” alisema Mourinho.  “Huwezi kusema hatufungi...
Sam ameeleza kuwa hakuna kitu kinachomuuma sana kama siku alipomdondosha mdogo wake chini na kumsababishia kifo kutokana na kuanguka kwake,msanii huyo amesema kuwa kisa hicho kilitokea wakati mama yake akiwa shambani na kumuacha sam na mdogo wake na ilipofika mchana sam aliyekuwa kambeba mdogo wake huku akitokea ndani ndani akiwa kabeba uji wa huyo mtoto,ila kwa bahati mbaya sam alijikwaa...
  David Moyes aliungana wachezaji wake pia     Wayne na Coleen Rooney         r           Ryan na Stacey Giggs      Robin na mkewe Bouchra van Persie    Alexander Buttner, Rio Ferdiand na Shinji Kagawa     ...
Mdau wa michezo na mwanamichezo wa sports extra wa Clouds Fm (kushoto) Bw. Shaffih Dauda akiteta jambo na Mrisho Mpoto na (katikati) ni Ruge Mtahaba Mkurugenzi wa Vipindi,Uzalishaji na Mipango wa Clouds Group mapema na kabla ya semina kuanza kwenye ukumbi wa Lina's Club Bukoba mjini. Mghani mahiri wa mashairi hapa nchini Mrisho Mpoto akizungumza kwa msisitizo,masuala ya fursa mbalimbali...

waliotembelea blog