
Kupitia kipindi chake cha ‘In My Shoes’
cha jana, Wema Sepetu alieleza jinsi alivyojisikia baada ya baadhi ya
waigizaji wenzie wa Bongo Movie kugoma kuhudhuria msiba wa baba yake,
Balozi Isaac Abraham Sepetu, mwishoni mwa mwezi uliopita kwa madai kuwa
yeye hakuwa akifanya hivyo kwenye misiba mingine.
“Imeshatokea, wameacha kuja kwenye
msiba, ni wao,” alisema Wema. Sio Bongo movie nzima, ni...