
Mmoja wa washiriki wanaounda kikundi cha Street Dance cha Mbagala
jijini Dar es salaam, akionyesha umahiri wake wa kudansi wakati wa
shindano la robo fainali la Dance 100 lililodhaminiwa na Vodacom
Tanzania na kufanyika katika Viwanja vya TCC Sigara Chang’ombe hapo
jana.Shindano hilo lilishirikisha makundi 15 kutoka wilaya ya Temeke
,Makundi matano yalichagulia kuingia katika Fainali...