Pamoja na kuwa nyuzi joto 44 F siku ya Ijumaa Feb 14, 2013 bado
theluji iliyoanguka maeneo ya DMV (DC, Maryland na Virginia) usiku wa
kuamkia alhamisi Feb 13, 2014 ilikua haijaeyuka yote na kutokana na
magari ya wakazi wa DC kuegeshwa pendezoni mwa barabara na kufanya
magari yanayoplao theluji barabarani kuishia kufanya kazi hiyo katikati
ya barabara na kutokana na wakazi wengi...
Saturday, February 15, 2014


Simba
Mbeya City
JIJI la Mbeya leo litasimama kwa muda wakati wenyeji Mbeya City
watakapoikaribisha Simba kwenye uwanja wa Sokoine likiwa ni moja ya
michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayochezwa leo nchini.
Mechi hiyo inavuta hisia kubwa kuliko hata mechi za kimataifa ambazo
timu za Yanga na Azam zilizopo ugenini zitakuwa zikiiwakilisha Tanzania
katika kutafuta nafasi ya kufuzu raundi...


Kubwa
kwenye mechi hizo ni Big Match mbili leo Jumamosi na ile ya Jumapili
ionayokumbushia mechi za Ligi Kuu ya England watu kutaka kulipizana
kisasi. Leo Jumamosi,
huko Etihad, Manchester City wataikaribisha Chelsea huku wakikumbuka
kufungwa na Chelsea Bao 1-0, wiki iliyopita kwenye Mechi ya Ligi na
Jumapili, ndani ya Emirates, Arsenal, watawaalika Liverpool...
Subscribe to:
Posts (Atom)