
MABINGWA
wa FA CUP, Arsenal, wanaanza utetezi wa Taji lao Wikiendi hii kwa
kucheza Nyumbani Emirates na Hull City hilo likiwa pambano moja kati ya
Matatu yanayohusisha Timu za Ligi Kuu England pekee kwenye Raundi ya
Tatu.
Mengine ya Timu za Ligi Kuu England pekee ni yale ya Tottenham kucheza Ugenini na Burnley na Leicester kukipiga na Newcastle.
Msimu uliopita Arsenal walibeba FA CUP kwa...