Friday, September 12, 2014

  Na Baraka Mpenja, Dar es salaam YANGA SC itakutana na Azam fc katika mchezo mkali wa Ngao ya Jamii kuashiria kupenuliwa kwa pazia la ligi kuu soka Tanzania bara jumapili (septemba 14 mwaka huu) uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam. Kuelekea katika mchezo huo, mshambuliaji Jeryson Tegete hayuko fiti kucheza kutokana na kusumbuliwa na maumivu ya nyonga. Mbali...
+5 Daniel Sturridge atakaa nje ya uwanja kwa wiki tatu baada ya kupata majeruhi katika mazoezi ya England BRENDAN Rodgers ameponda matibabu wanayotoa England kwa mshambuliaji wake Daniel Sturridge baada ya kupata majeruhi ya mguu. Sturridge aliumia ijumaa iliyopita, saa 48 baada ya kucheza dakika 89 katika ushindi wa England wa bao 1-0 dhidi ya Norway katika mechi ya...
Oscar Pistorius amekutwa na hatia ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp MWANARIADHA  Oscar Pistorius anakabiliwa na kifungo gerezani baada ya kukutwa na hatia ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp. Jaji wa mahakamu kuu ya Afrika kusini, Thokozile Masipa mapema laisema siku ya wapendanao 'Valentine Day' mwaka jana, Pistorius alimpiga risasa mpenzi wake huyo. Mara...

waliotembelea blog