Friday, July 5, 2013

Leo ni siku ya kimataifa ya kupambana na dawa za kulevya na biashara haramu ya dawa hizo. Umoja wa Mataifa umeitenga siku hii kuuhimiza ulimwengu kupambana na janga hili ambalo linaathiri hasa vijana kote duniani.  Ni jukumu la kila mmoja kupambana na dawa Bado kiwango cha matumizi ya dawa kama vile Heroin, cocaine na amphetamine hakijashuka lakini mtindo huu wa...
Papa Francis Wachambuzi wanasema kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis ameongeza nguvu zaidi katika kushughulikia kashfa zilizoigubika benki ya Vatican kwa kumuondoa viongozi wa juu wa tasisi hiyo. Paolo Cipriani na Massimo Tulli, mkurugenzi na naibu wake katika benki hiyo ya Vatikan walitoa rasmi barua za kujiuzulu kwao jumatatu iliyopita kwa maslahi ya taasisi hiyo na makao...
 Kipre (katikati) wakati akipokea tuzo yake usiku huu. Kushoto ni Waziri Dk Fenella na kulia Mkurugenzi wa masoko wa Vodacom, Kevin Twisa. SC, Kevin Patrick Yondan ameteuliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2012/2013 na kuzawadiwa donge nono la Sh. Milioni 5. Hata hivyo, katika hafla ya kutoa zawadi za washindi wa Ligi Kuu msimu uliopita kutoa wadhamini,...
Gari la kubeba maiti likiwasili katika eneo la Mvezo Resort kuchukua mabaki ya miili ya watoto watatu wa Nelson Mandela iliyokuwa imezikwa kinyemela katika eneo hilo na mjukuu wa kiongozi huyo, Mandela. Kwa ufupi Hilo ni kosa na ni kinyume cha sheria za nchi. Maeneo ya makaburi yanalindwa na sheria hivyo ukienda kuchimbua mabaki...

waliotembelea blog