Monday, July 14, 2014

Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa Nyumba Ardhi na maendeleo ya Makazi (katikati) Ambaye ndiye alikuwa Mgeni Rasmi katika Tamasha Hilo Kubwa la "SOTE NI NDUGU" lililoandaliwa na Kundi la Kapotive Star Singers-Bukoba leo Katika Ukumbi wa Lina's Club uliopo  Bukoba mjini. Tamasha hilo pia limeudhuriwa na Wageni wa Kikundi hicho Cha kapotive kutoka Austria.Kwaya rafiki yenye waimbaji 29...

waliotembelea blog