Leo
ni Leo Mwanza... maana wakazi wa jiji La Mwanza na vitongoji vyake
wamejitokeza kwa wingi kumpokea mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli. Huku Maelfu ya watu wamejitokeza
kwenda CCM Kirumba jijini Mwanza kuhudhuria mkutano wa kufunga kampeni
leo Oktoba 24, 2015.
Kila mmoja akijikaza kujongea CCM Kirumba, Mwanza.
Akina...
Saturday, October 24, 2015



Mwenyekiti
wa CCM,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Kikwete
akisalimiana na Mgombea Urais wa chama hicho Dkt John Pombe
Magufuli,mara baada ya kuwasili katika uwanja wa CCM Kirumba kuhitimisha
shughuli za kampeni nchini kote,ambapo hapo kesho wananchi wanatarajia
kupiga kura ya kuwachagua viongozi wawatakao.
Mwenyekiti
wa CCM Dkt Jakaya Kikwete na Mgombea...


Jose Mourinho amemponda Marc Wilmots kuhusu madai yake kwamba Eden Hazard ataondoka Chelsea na kuhamia Real Madrid
Msimu uliopita Hazard, ambae ni Mchezaji
wa Kimataifa wa Belgium, alitunukiwa Tuzo ya PFA pamoja na ile ya
Wanahabari ya kuwa Mchezaji Bora wa Mwaka huko England lakini Msimu huu
uchezaji wake umeporomoka.
Wiki iliyopita Mourinho alimpiga Benchi
Hazard wakati Chelsea inaifunga...


NAHODHA wa England na Manchester United Wayne Rooney Leo ametimiza Miaka 30 ya kuzaliwa kwake. Rooney
alitinga na kujitambulisha katika Dunia ya Soka Miaka 13 iliyopita
alipocheza Mechi wakati Timu yake Everton inaifunga Arsenal Bao 2-1
Mwaka 2002 na yeye kufunga Bao safi mno na kumaliza mbio za Arsenal za
kutofungwa katika Mechi 30. Miaka Miwili baadae Rooney alihamia Manchester United...


LA LIGA RATIBAJumamosi Oktoba 24 17:00 Celta de Vigo v Real Madrid CF 19:15 Granada CF v Real Betis 21:30 Sevilla FC v Getafe CF 23:05 Malaga CF v Deportivo La Coruna Jumapili Oktoba 25 14:00 Levante v Real Sociedad 18:00 Las Palmas v Villarreal CF 20:15 FC Barcelona v SD Eibar 22:30 Atletico de Madrid v Valencia C.F Jumatatu Oktoba 26 22:30 Athletic de Bilbao v Sporting Gij...
Subscribe to:
Posts (Atom)