
UFOO SARO MWANDISHI WA ITV
Alfajiri
ya jana, mtangazaji wa ITV anayejulikana kwa jina la Ufoo
Saro amejeruhiwa vibaya kwa kupigwa risasi na mchumba wake ambaye baada ya tukio hilo naye alijipiga risasi na kujiua.Akizungumza na mnyetishaji wetu, kamanda Wambura ambaye ...