Saturday, May 2, 2015

Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Mheshimiwa Diodorus Kamala[l] akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wageni waalikwa kutoka mataifa mbalimbali katika uzinduzi wa filamu za kitanzania ambazo sasa zitakuwa zikiuzwa online.sherehe hizo za uzinduzi ambazo zilifanyika jijini Brussel nchini Ubelgiji na kuhudhuriwa na watu mbalimbali.  Mwenyekiti wa Proin Group Tanzania...
Wafanyakazi wa Shirika la Umeme(TANESCO) mkoa wa Kilimanjaro wakipita na gari lao mbele ya mgeni rasmi katika sherehe za Mei Mosi zilizofanyika katika uwanja wa Chuo Kikuu chaUshirika  mjini Moshi.  Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCLwakipita katikamaonesho ya Mei Mosi ...
 Watangazaji wa Clouds FM kupitia kipindi cha Powerbreakfast Gerald Hando pamoja na Hudson Kamoga wa Clouds TV kupitia kipindi cha Clouds 360 wakifanya mahojiano na Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini na kwingineko Diamond Platnum akiwa na mchumba wake Zari the bosslady,kuhusiana na mambo mbalimbali yakiwemo ya maisha yao na pia kuhusu onesho lao la Zari White Party...

waliotembelea blog