Edu Albácar ndie aliyeanza kuifunga Real bao dakika ya 15 bao la mkwaju wa penati.Gareth Bale hakuchukua muda dakikia 20 alisawazisha bao la hilo kwa kichwa na kufanya 1-1.Cristiano
Ronaldo alifunga bao la pili dakika ya 28 na kufanya 2-1 na baadae
dakika ya 32 akaifungia bao tatu na kufanya 3-1 dhidi ya Elche kwenye
Uwanja wa Nyumbani Bernabeu na ukishuhudiwa na Mashabiki 65,000.Bao zote tatu...
Wednesday, September 24, 2014


Wachezaji
wa Southampton wakipongezana baada ya kuifunga bao la pili Arsenal
kwenye Uwanja wao wa Emirates, Bao lililofungwa na Nathaniel Clyne
dakika ya 40 kipindi cha kwanza.Nathaniel Clyne akifunga bao la pili.2-1Kipindi
cha Kwanza dakika ya 14 Alexis Sánchez aliwapatia bao la kwanza Arsenal
kwa frii kiki na kufanya bao kuwa1-0 dhidi ya Southampton.
Dakika ya 20 Dusan Tadic
aliisawazishia...
Subscribe to:
Posts (Atom)