
Young
Africans imetolewa kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika na
mabingwa watetezi Al Ahly kwa mikwaju ya penati 4-3 kufuatia kumalizika
kwa dakika 90 za mchezo Al Ahly ikiwa na bao 1- 0 hivyo kufanya matokeo
ya jumla kuwa 1-1 mchezo uliofanyika usiku wa leo katika Uwanja wa El
Max jijini Alexadria.
Young Africans iliingia uwanjani ikiwa
makini na kufanya mashambulizi kadhaa langoni...