Sunday, August 30, 2015

Yakiwa yamebakia masaa takribani 72 kabla ya dirisha la usajili barani ulaya kufungwa, winga wa kibrazil Neymar ambaye amekuwa akihusishwa na kujiunga na Man United hatimaye ametoa kauli yake.   Akizungumza baada ya mchezo wa ushindi wa 1-0 wa Barcelona dhidi ya Malaga, Neymar alisema: ‘Ningependa na nataka kuendelea kubaki Barcelona,...
Klabu ya Manchester City ya Uingereza ambayo ilikuwa ni moja kati ya vilabu vingi vilivyo kuwa vikihusishwa na kumsajili kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Ubelgiji na klabu ya Vfl Wolfsburg ya Ujerumani Kevin De Bruyne, August 30 imetangaza kumsajili rasmi. De Bruyne ambaye ana umri wa...
Kocha Mkuu wa timu ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro, Charles Mkwasa amesema vijana wake wapo tayari kuwavaa Nigeria Septemba 05, 2015 katika mchezo wa kuwania kufuzu kwa fainali za AFCON mwaka 2017.Mkwasa ambaye yupo nchini Uturuki na kikosi cha timu ya Taifa kambini kwa mazoezi ya takriban wiki moja, amesema vijana wameonyesha mabadiliko makubwa baada...
2-1Ayew akikatiza baada ya kuifunga bao la kusawazishaGomis  dakika ya 65 aliwapachikia bao la pili na kufanya 2-1 dhidi ya Man United. Kama ilivyokuwa Msimu uliopita, Leo tena Swansea City wametoka nyuma kwa Bao 1 na kuifunga Manchester United Bao 2-1 na kuishushia kipigo chao cha kwanza kwenye Ligi Kuu England kwa Msimu huu mpya. Hadi Mapumziko, Mechi hii iliyochezwa huko Liberty Stadium,...
...
Yaya Toure analipwa pauni 220,000 akiwa na kikosi chake cha Manchester, hali ambayo inaonyesha kuumiza mioyo mingi ya Wazungu hasa Waingereza ingawa hawana kipaji kama chake. Toure analipwa pauni 17,251 kwa siku ambayo ni sawa na Sh milioni 51 kwa shilingi ya Tanzania. Si kwamba Toure analipwa tu, kazi yake ni ngumu kweli na imeendelea kuwa bora. Picha hizi...
MANCHESTER CITY (4-2-3-1): Hart 6; Sagna 6.5, Mangala 6, Kompany 6, Kolarov 6; Fernandinho 6, Toure 6.5; Sterling 7.5 (Iheancho 90), Silva 8 (Delph 75 6), Navas 5.5 (Nasri 45 6); Aguero 6.5  Subs not used: Caballero, Demichelis, Roberts, Maffeo Becerra, Iheanacho Scorers: Sterling 47, Fernandinho 56 Booked: Kompany WATFORD (4-2-3-1): Gomes 6; Nyom 7,...
Na Saleh Ally, Kartepe Kikosi cha Taifa Stars sasa kitaendelea na mazoezi mara moja tu kwa siku kwa siku zote zilizobaki za kambi yake hapa nchini Uturuki. Stars imeweka kambi ya siku nane hapa Kartepe, Uturuki kujiandaa na mechi yake dhidi ya Nigeria itakayopigwa Septemba 5 jijini Dar es Salaam. Kocha Mkuu wa Stars, Charles Boniface Mkwasa amesema watakuwa wakifanya mazoezi...
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, akiwahutubia wananchi katika mkutano huo leo  Umati wa wananchi ukimsikiliza Mgombea ubunge wa jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu, alipohutubia katika mkutano wa kampeni wa mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, katika eneo la Msange, Singida Kaskazini, leo.  Mgombea Mwenza...
Wasanii wa Filamu nchini Wema Sepetu na Steven Nyerere wakimkaribisha Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika Hoteli ya Kilimanjaro Kempinski jijini Dar es Salaam kuzindua Kampeni ya Mama Ongea na Mwanao illi aipigie kura CCM.Kampeni hiyo imeratibiwa na Wasanii wa filamu wakuongozwa Wema Sepetu na Steven Nyerere. Msanii wa Filamu Bi.Wema Sepetu akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya...
Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema kupitia Ukawa, Mh Edward Lowassa akiongea na wakazi wa jiji la Dar waliojitokeza katika uzinduzi wa Kampeni za Ukawa katika viwanja vya Jangwani mapema leo.Mh Lowassa amesema kipaumbele chake kimoja wapo ni Elimu huku akisisitiza kuwa kampeni zao zitakuwa ni za busara na hekima bila kutumia matusi. Mke wa Mgombea Urais kupitia Chadema chini...

waliotembelea blog