Tuesday, January 17, 2017

Meneja wa zamani wa Manchester United na Uholanzi Louis van Gaal amesema amestaafu kazi ya ukufunzi baada ya miaka 26 katika taaluma yake. Van Gaal, 65, hajafanya kazi uwanjani tangu alipopigwa kalamu na United saa chache baada ya kushinda kombe la FA mwezi Mei 2016. Akiongea na jarida la Telegraaf la nchini Uholanzi Van Gaal amesema...

waliotembelea blog