Wednesday, December 14, 2016

MCHEZAJI wa Kimataifa wa Algeria Riyad Mahrez ametwaa Tuzo ya BBC ya Mchezaji Bora Afrika kwa Mwaka 2016. Mahrez, Mzaliwa wa France mwenye Miaka 25, aliisaidia mno Leicester City kutwaa Ubingwa wa England Mwezi Mei kwa mara ya kwanza katika Historia yao na hilo limempa Tuzo hii maarufu na inayosifika ya BBC, Shirika la Utangazaji la Uingereza. Mapema Mwaja huu, Mahrez alitunukiwa Tuzo ya...
CRISTIANO RONALDO ameshinda Tuzo maarufu na iliyotukuka ya Ballon d'Or kutoka Listi ya Wagombea 30 akiwemo alieishika kmWaka Jana Lionel Messi. Hii sasa ni mara ya 4 kwa Ronaldo kutwaa Tuzo hii akizidiwa mara 1 tu na Messi. Ballon d'Or inasimamiwa na Jarida maarufu France Football na Mshindi wake hupatikana kwa Kura za Wanahabari 173 toka kila pembe ya Dunia. France Football imekuwa ikisimamia...
DROO ya Raundi ya Mtoano ya UEFA CHAMPIONS LIGI imefanyika huko Nyon, Uswisi na Mabingwa Watetezi Real Madrid kupangwa kucheza na Napoli. Arsenal ya England itacheza na Vigogo wa Germany wakati PSG ikiivaa FC Barcelona. Manchester Citi itaikwaa Monaco wakati Mabingwa wa England Leicester City wakicheza na Sevilla ya Spain. DROO KAMILI: Sevilla v Leicester PSG v Barcelona Leverkusen v Atletico...
Leo Jumatano zipo Mechi 8 za EPL na Vinara Chelsea wapo Ugenini Stadium of Light kucheza na Sunderland, Liverpool Ugenini na Boro, Man United Ugenini na Crystal Palace wakati Spurs wako kwao kucheza na Hull City. Mechi hizo ni mwendelezo wa Mechi 2 za Jana za Raundi ya 16 ya EPL ambapo Arsenal walipoteza nafasi ya kutwaa uongozi wa Ligi walipotandikwa na Everton 2-1 huko Goodison Park...

waliotembelea blog