Arsenal wasawazisha dakika ya 46 kipindi cha pili na Aaron Ram...
Sunday, January 8, 2017


Wayne
Rooney amasawazisha idadi ya mabaoa na ya Sir Bobby Charlton ambaye
aliwezk rekodi ya kufunga idadi kubwa zaidi ya mabao akichezea klabu ya
Manchester United.Rooney mwenye umri wa miaka 31 alifunga bao wakati
wa mchuano kati ya Manchester United na Reading na kufikisha jumla ya
mabao 249 kwa mechi 543.Rekodi hiyo ya Charlton imekuwepo tangu mwaka 1973.Mwaka 2015 Rooney alivunja rekodi...


Mechi
za Raundi ya 3 ya Kombe Kongwe kabisa Duniani, FA CUP, zinaanza Leo kwa
Mechi moja tu kati ya West Ham na Manchester City itakayochezwa huko
London Stadium, Jijini London. Raundi ya 3, ambayo inaipumzisha EPL,
Ligi Kuu England, Wikiendi hii, ndio inayoingiza kwa mara ya kwanza
Timu za EPL na zile za Daraja la chini yake, Championship, kushiriki
Mashindano haya yaliyotanguliwa na...


John
Obi Mikel ametangaza kupitia Posti kwenye Mitandao ya Kijamii kuihama
Chelsea kujiunga na Klabu ya China inayocheza Supa Ligi Tianjin TEDA. Mikel, mwenye Miaka 29, alijiunga na Chelsea akiwa na Miaka 19 akitokea Klabu ya Norway Lyn Mwaka 2006 na kucheza Mechi 374. Lakini Msimu huu, chini ya Meneja Mpya Antonio Conte, Mikel hajacheza hata Mechi moja na hilo limemfanya ahame. Akiwa na...
Subscribe to:
Posts (Atom)