Monday, February 10, 2014

      ...
Mchumi wa CCM, Wilaya ya Mbeya Vijijini, Shadrack Mwanjuguja akidhibitiwa na vijana baada ya kutokea vurugu jana asubuhi katika Kijiji cha Ruanda2 wakati wa uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Santilya, Mbeya Vijijini. Picha ndogo ni Mkuu wa Polisi Kituo cha Kati, Mbeya, Richard Mchomvu akimsindikiza hospitali Mbunge wa Mbeya Vijijini (CCM), Mchungaji Lackson Mwanjale baada ya kujeruhiwa katika...
Soka | Hispania Gerardo Martino na Lionel Messi  Barcelona kocha Gerardo Martino alisema Lionel Messi alikuwa akajibu wapinzani wake kwa njia nzuri iwezekanavyo kama Argentina alifunga mabao yake mawili ya kwanza kutoka kucheza wazi katika 10 ligi kuu ya Uingereza kama Barca alishinda 4-1 katika Sevilla siku ya Jumapili. Sevilla walikuwa wamekwenda...
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), lipo mbioni kujenga vituo 169 vya michezo katika wilaya 169 za Tanzania. Rais wa TFF, Jamal Malinzi alisema kuwa licha ya vituo hivyo kufundisha soka pia ni maalumu kwa ajili ya kufundisha vijana juu ya athari za matumizi...
Kocha wa Arsenal, Arsena Wenger, amesisitiza kuwa ''The Gunners'' bado wana uwezo wa kushinda ligi kuu ya Premier msimu huu, lakini amekiri kipigo walichopata katika uwanja wa Anfeild, kimezua maswali kuhusu kikosi chake. ...

waliotembelea blog