Jose Mourinho akichachamaa!!3-1Mabingwa
CHELSEA wakicheza kwao Darajani mbele ya mashabiki 41642, wamefungwa na
Southampton bao 3-1. Kipindi cha kwanza kilimalizika 1-1 na kipindi cha
pili Sputhampton walifunga bao mbili dakika ya 60 na dakika ya 72.
Chelsea bao lao lilifungwa na Willian dakika ya 10 na dakika ya 43
Steven Davi aliisawazishia bao Southampton kwa kufanya 1-1. Sadio Mane...
Sunday, October 4, 2015


Sevilla FC waliofnga bao ni Michael Krohn-Dehli dakika ya 52 na lile la Vicente Iborra dakika ya 58 na kufanya bao kuwa 2-0.
Barcelona
walifungiwa bao lao na Neymar dakika ya 74 kwa mkwaju wa penati na
mtanange kumalizika Sevilla wakiwa kidedea kwa bao 2-1 dhidi ya
Barcelona.Sevilla wakishangilia bao mbele ya Mashabiki waoIborra alipotupia baoNeymar Suarez akishangaa shangaa...


Sergio
Agüero Alifunga tena bao mbili haraka dakika ya 49 na 50 na
kujifanyikia kupata hat-trick yake kwa kupiga bao tatu na kufanya bao
ziwe 3-1.
Bao la nne lilifungwa na Kevin De Bruyne dakika ya 53 na tena dakika ya
60 Sergio Agüero alifunga bao la tano na kisha dakika ya 62 Sergio
Agüero akafunga la 6 na kufanya matokeo kuwa 6-1.Raha ya bao!Sergio
Agüero dakika ya 42 aliwasawazishia...


Yohan Cabaye alipatia bao la pili na kufanya 2-0 dhidi ya West Brom kwa mkwaju wa penati baada ya Zaha kuangushwa ndani ya 18.
Ushindi huu umeipandisha Timu hiyo ya Palace juu nafasi ya tatu na wakiwa na pointi 15.
Yannick Bolasie alitupia bao dakika ya 68 kipindi cha pili na kuwapa nguvu ya kuongoza kwa bao 1-0 dhidi ya West Brom Albion.Zaha akiendesha mpiraYohane akipiga penati!Pong...
Subscribe to:
Posts (Atom)