Monday, July 28, 2014

Liverpool imemsaini Beki wa Southampton Dejan Lovren kwa Dili inayoaminika ni Pauni Milioni 20 na huyo ni Mchezaji wao wa 5 kumnunua kwa ajili ya Msimu mpya.Lovren, mwenye Miaka 25, ni Sentahafu kutoka Croatia na amesaini Mkataba wa Miaka Minne.Lovren anaungana na Wachezaji wengine wawili waliotoka Southampton na kuhamia Liverpool katika kipindi hiki ambao ni Rickie Lambert na Adam Lallana.Meneja ...
  *Msafiri Diouf, Amigolas wa Bendi ya Ruvu Stars kupamba shindano Na Mwandishi Wetu Wakati warembo 14 wanaowania taji la Kanda ya Mashariki ( Redds Miss Eastern Zone 2014)  (kesho Jumanne)  watashindana kwenye taji la vipaji (talent award), bendi mpya inayokuja juu kwa kasi, Ruvu Stars chini ya nyota Msafiri Diouf na Hamis Amigolas watapamba shindano hilo lililopangwa kufanyika ...

waliotembelea blog