Mara baada ya Jana Arsenal kuibwaga Chelsea na kutwaa
Ngao ya Jamii, Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amelichochea bifu lake la
muda mrefu na mwenzake wa Chelsea Jose Mourinho.Mara
baada ya Jana Arsenal kuibwaga Chelsea na kutwaa Ngao ya Jamii, Meneja
wa Arsenal Arsene Wenger amelichochea bifu lake la muda mrefu na
mwenzake wa Chelsea Jose Mourinho.
Ushindi
wa 1-0 walioupata Jana Arsenal...
Monday, August 3, 2015


Siku kadhaa zimepita toka klabu ya Manchester United
ya Uingereza itangaze jezi zake mpya na kampuni itakayokuwa
inatengeneza jezi hizo, August 3 nimekutana na story nyingine tena kwa
ajili ya mashabiki wa kike wanaoipenda Mancheater United… Zamani tulizoea kuona mashabiki wa kike wa Manchester United Tanzania na hata Uingereza wakivaa jezi za kiume wanapoenda uwanjani na sehemu...


Mshambuliaji na nahodha wa Manchester United Wayne Rooney amewahi kuchezea klabu ya Everton ya Uingereza kabla ya mwaka 2004 kuhamia katika klabu ya Manchester United kwa ada ya uhamisho ya pound milioni 25, akiwa na Everton Rooney aliichezea mechi 77.
Rooney amerejea tena August 2 katika jezi ya Everton na mtu aliyemsababisha avae jezi hiyo ni Duncan Ferguson ambae ni mchezaji wa zamani wa...


Hatimaye wakala namba moja wa wanasoka bora ulimwenguni, Jorge Mendes
jana alifunga ndoa na mchumba wake wa siku, Sandra Barbosa.
Sherehe ya ndoa ilihudhuriwa na mastaa mbalimbali wa soka ulimwenguni,
huku Cristiano Ronaldo, mteja mkuu wa Mendes akiwa ‘mpambe rasmi’ wa
bwana harusi.
Cristiano Ronaldo akiingia kanisani
Wageni waalikwa wengine...


Football – Manchester United v Arsenal FA Cup Quarter Final – Old Trafford – 12/3/11Fabio da Silva (R) celebrates with Rafael da Silva after scoring the first goal for Manchester UnitedMandatory Credit: Action Images / Carl RecineLivepic
Beki wa kulia wa Manchester United Rafael Da Silva yuko mbioni
kuihama klabu hii akiwa karibu kabisa na uhamisho...


Mkuu wa Kitengo cha Huduma na Mawasiliano waNHC, Bi Suzan Omari akipata
maelezo kutoka kwa baadhi ya wafanyakazi wa shirika hilo waliokuwa
wakisimamia michezo mbalimbali wakati wa tamasha la NHC Family Day
lililofanyika kwenye hoteli ya Kunduchi Beach mwishoni mwa wiki
likishirikisha wafanyakazi wa shirika hilo jijini Dar es salaam na
familia zao na kufahamiana ikiwani pamoja na kubadilishana...



Kikosi cha BarcelonaKwenye Uwanja wa Stadio Artemio Franchi, Italy
Fiorentina wanaongoza bao 2-0 dhidi ya
Barcelona, Mpaka sasa ni kipindi cha kwanza kinaendelea...Bao za
Fiorentina zimefungwa na Mchezaji mmoja Federico Bernardeschi dakika ya 4
na lile la Federico Bernardeschi dakika ya 12.
Barcelona wana bao 1 lililofungwa na Luis Suárez dakika ya 17.
Mtanange huo ulimazika dakika...


Mchezo wa mpira wa miguu ni miongoni mwa
kazi zenye mishahara mikubwa sana, kama ambavyo mtu kipato chake
kinavyoongezeka ndivyo anavyotamani kumiliki kitu kizuri zaidi… Mastaa
wa soka ni watu ambao wamekuwa na utamaduni wa kumiliki magari mengi na
ya gharama ila kila mtu anapenda gari kulingana na hitaji lake au
mapenzi yake
August 3 nakusogezea...


Viongozi wa Azam pamoja na wachezaji wakiwa katika picha ya pamoja.
Wachezaji wa Azam FC wakishangilia wakiwa na Kombe lao baada ya
kukabidhiwa katika mchezo wa fainali baada ya kuifunga Gor Mahia ya
Kenya 2-0. (Picha zote na Francis Dande)
Kocha Mkuu wa Azam FC, Stewart Hall akiwa amebebwa na wachezaji wa timu
hiyo baada ya kumalizika kwa mchezo wa fainali ya Kombe la Kagame dhidi...



Arsenal Mabingwa 2015 FA Community Shield Alex Oxlade akipeta baada ya kufunga baoChamberlain akishangilia vikali juu kwa juuMbele ya MashabikiMsimu
mpya wa Soka huko England umeanza rasmi hii Leo kwa Mechi maalum ya
kugombea Ngao ya Jamii kati ya Mabingwa wa England Chelsea na waliobeba
FA CUP Arsenal Uwanjani Wembley Jijini London na Arsenal kuibuka kidedea
kwa kuifunga Chelsea...
Subscribe to:
Posts (Atom)