Utamaduni wa wanafunzi kuwatunga majina
waalimu wao ulikuwepo toka zamani na mara nyingi mwalimu anaweza
kutungwa jina ambalo yeye halijui ila kutokana na tabia na muonekano
wake basi wanafunzi hupenda kumtunga jina linaloendana na tabia zake
kama ni mkali usishangae ukisikia akipewa...
Tuesday, November 10, 2015


Msafara
wa timu ya Taifa ya Algeria (The Desert Warriors) unatarajiwa kuwasili
nchini siku ya Alhamis kwa ndege binafsi ya kukodi, ukiwa na jumla ya
watu 65 wakiwamo wachezaji 24 tayari kwa mchezo wa Jumamosi Novemba 14
dhidi ya wenyeji Tanzania katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Kocha
mkuu wa timu hiyo Iitakayofikia hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Kempsinki,
Christian Gourcuff...


Kiungo wa zamani wa timu za Arsenal na Manchester City, Patrick Vieira ameteuliwa kuwa kocha mpya wa timu ya New York City.Vieira
mwenye umri wa miaka 39 amesaini mkataba wa miaka mitatu kuifundisha
timu hiyo inayoshiriki ligi kuu ya soka nchini Marekani.Kocha huyu
alikua anakifundisha kikosi cha vijana wa chini ya umri wa 21 cha
Manchester City. Vieira ni miongoni mwa nyota wa timu ya...


Ratiba
ya michuano ya Kombe la Challenji kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na
Kati (Cecafa Senior Challenger Cup) imetoka jana ambapo timu ya Tanzania
Bara ‘Kilimanjaro Star’ imepangwa kundi moja na wenyeji Ethiopia. Katika
taarifa ya CECAFA iliyotolewa jana, Kilimanjaro Star imepangwa kundi A
pamoja na wenyeji Ethiopia, Somali na waaalikwa wa michuano hiyo timu ya
Taifa ya Zambia ‘Chipolopolo’....


David
Moyes ametimuliwa kazi kama Meneja wa Klabu ya La Liga inayosuasua ya
Real Sociedad ikiwa ni Siku 1 tu kabla hajatimiza Mwaka mmoja Klabuni
hapo. Moyes, mwenye Miaka 52, alitwaa wadhifa wa Umeneja wa Klabu
hiyo ya Spain hapo Tarehe 10 Novemba 2014 na kuiokoa Klabu hiyo
kuporomoka wakati ikiwa katika hali mbaya na kukamata Nafasi ya 12
kwenye La Liga Msimu uliopita.Lakini
Msimu huu...


Mchezo wa mpira wa miguu ni miongoni mwa
kazi zinazotajwa kulipa mishahara mikubwa zaidi duniani, siku hizi
imekuwa kawaida kusikia mchezaji huyu na yule kuwa na mshahara wenye
tofauti kubwa. Kwa sasa Ligi Kuu soka Tanzania bara inatajwa kuwa ni moja kati ya Ligi zinazoongoza kwa kulipa mishahara mikubwa tofauti na baadhi ya Ligi za nchi...
Subscribe to:
Posts (Atom)