Friday, February 7, 2014

Mwamuzi aliyechezesha mchezo wa ligi kuu ya Hispania kati ya Athetico Bilbao VS Real Madrid na kumtoa kwa kadi nyekundu mwanasoka bora wa dunia Cristiano Ronaldo wikiendi iliyopita amesimamishwa.  Kamati ya marefa nchini Spain imemuadhibu refa  Miguel Angel Ayza Gamez kwa kumsimamisha kwa mwenzi mzima na huku akiondolewa katika isti ya marefa watakaochezesha mechi za Real Madrid...
Nemanja Vidic amethibitisha ataondoka Klabu hiyo mwishoni mwa Msimu huu.Vidic, Raia wa Serbia mwenye Miaka 32, anamaliza Mkataba wake na Man United mwishoni mwa Msimu huu kwenye Klabu aliyoanza kuichezea Mwaka 2006.Vidic alitoa Taarifa kwenye Tovuti ya Man United na kusema: “Sifikirii kubakia England kwani Klabu pekee niliyotaka kuchezea ni Manchester United. Sikutegemea kushinda Vikombe...
Ijumaa Februari 7 RCD Espanyol v Granada CF Jumamosi Februari 8 Valencia v Real Betis Rayo Vallecano v Malaga CF Real Madrid CF v Villarreal CF UD Almeria v Atletico de Madrid Jumapili Februari 9 Osasuna v Getafe CF Real Valladolid v Elche CF Real Sociedad v Levante Sevilla FC v FC Barcelona Jumatatu Februari 10 Celta de Vigo v Athletic de Bilbao MSIMAMO ULIVYO KWA SASA LA LIGA: 2013/2014 SPANISH...

waliotembelea blog