
Jumanne
Usiku Chelsea wako Ugenini kucheza Mechi ya Kundi G la UEFA CHAMPIONS,
Dhidi ya Maccabi Tel Aviv wakiwa na matumaini ya kutinga Raundi ya
Mtoano ya Timu wakiwa na Mechi 1 mkononi. Hapo kesho, Chelsea
wanaweza kufuzu wakiishinda Maccabi ambayo ishatupwa nje ikiwa Dynamo
Kiev haishindi Mechi yao na FC Porto huko Ureno. Na hata Sare kwa Chelsea inaweza kuwasaidia ikiwa FC Porto itaifunga...