Sunday, July 12, 2015

Matokeo halisi ya kura za wagombea kuto Mkutano Mkuu ni: Mh. John Magufuli 87%, Balozi Amina Ali 10%, Dk.Asha Migiro 3%  NI NINI  MAONI YAKO KUFIKIA HAPOPE  1.Je CCM imerudisha umaarufu uliokua unautakaa 2.Je kufikia hapa goli la mkono linatakiwa au game liko fear? OBA DODOMA LEO JUMAMOSI JULY 11,2015 Katibu...
Posted by: Mahmoud Zubeiry Posted date: 7/12/2015 07:50:00 AM / comment : 0 KLABU ya Real Madrid imetangaza kwamba kipa gwiji, Iker Casillas amekubali kuhamia FC Porto ya Ureno. Vigogo hao wa Hispania wametangaza hilo kupitia tovuti yao jana kwamba kipa huyo mwenye umri wa miaka 34 ataondoka sambamba na kumshukuru kwa mchango wake. “Tumekubali uhamisho wa klabu ya Ureno kwa Iker Casillas,”...
Real Madrid imetangaza kuwa Kipa wao Iker Casillas aliewadakia Mechi 725 anahamia FC Porto ya Ureno baada ya Klabu hizo mbili kukubaliana. Casillas, mwenye Miaka 34 na ambae ni Nahodha wa Real na Timu ya Taifa ya Spain, alijiunga na Timu ya Vijana ya Real Mwaka 1990 na kubakia hapo hapo akitwaa Mataji makubwa 17. Real, licha ya kutangaza kuondoka kwa Kipa huyo mkongwe, pia ilitoa taarifa...
July 12 2015 Tanzania ilikuwa inasubiri kwa hamu kujua Mgombea yupi anasimamishwa na CCM kwenye nafasi ya Urais 2015, ninayo Ripoti nyingine kutoka Dodoma sasahivi!! Kura zimepigwa na Wajumbe wa Halmashauri Kuu CCM na matokeo yako hivi >>> John Pombe Magufuli 87%, Balozi Amina Ali 10% na Asha-Rose Migiro 3%. ...
NIPASHE Mgombea wa kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe ‘amefunguka’ baada ya kupenya katika kundi la tano bora, akisema iwapo wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), hawatamuunga mkono, yupo tayari kuheshimu maamuzi yao. Membe na makada wenzake, Waziri wa Ujenzi, Dk....
 Nimepata stori kutoka Uingereza masaa kadhaa yaliopita, ambako mchezaji maarufu wa Tennis duniani Serena Williams anaziandika headlines za leo kwenye ukurasa wa michezo. Serena Williams leo amecheza mechi ya mwisho ya Tennis ya Sixth Wimbledon Singles Title na ameibuka kidedea baada ya kumshinda mpinzani wake Garbine Muguruza. Ushindi huu ni wa nne kwa mfululizo kwa Serena. Kizuri zaidi...
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amedai mipango yao ya kununua Wachezaji wapya imesimama kwa vile anawapima Wachezaji wake waliokuwa majeruhi kwa muda mrefu Msimu uliopita.Wenger amesema nia yake ni kuwa na Kikosi kamili kilicho na Wachezaji wote fiti na kisha kupima na kuamua wapi waongeze nguvu. Hadi sasa, kwa ajili ya Msimu mpya, Wenger amenunua Mchezaji mmoja tu ambae ni Kipa Petr...
Manchester United wamekamilisha usajili wa mchezaji wa Torino Matteo DarmianDarmian akipata picha na Jezi pamoja na Meneja Louis van Gaal (kulia) Darmian amesajiliwa na kusaini mkataba wa kumweka  Old Trafford kwa miaka 4 Van Gaal akipeana mkono na Jembe lake jipya na akimtakia safari njema ya kuanza kashkashi za Ligi kuu England msimu mpya 2015/2016 Darmian ni mchezaji wa Kitaifa...
Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM umeteuwa majina matatu kati ya matano yaliyopendekezwa na wajumbe wa mkutano huo kwa ajili ya kuyajadili na hatimaye kupata jina moja la mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM. Waliopendekezwa na wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM ni Dk. John Pombe Magufuli, Balozi Amina Salum Ali na Dk. Asha Rose Migiro ambao majina yao yatajadiliwa...
January Makamba ni miongoni mwa waliojitokeza kuomba ridhaa ya chama cha mapinduzi CCM kuteuliwa kukiwakilisha chama kwenye kugombea Urais wa Tanzania 2015 ambapo alitajwa kwenye mchujo wa kwanza wa tano bora pamoja na Bernard Membe, Amina Salum, Asharose Migiro na John Magufuli. Ilipofika time ya tatu bora alipata taarifa kwamba hajapita kwenye mchujo wa kwanza ambapo sekunde chache...
TIMU ya soka ya Taifa ya Wanawake chini ya umri wa miaka 20, The Tanzanite, imeanza vibaya mbio za kuwania tiketi ya fainali za Afrika, baada ya jana kufungwa mabao 4-0 na Zambia Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Ilikuwa huzuni kwa Watanzania wote waliojitokeza Uwanja wa Azam, Chamazi wakiongozwa na Rais wa TFF, Jamal Malinzi namna ambavyo Tanzanite walivyonyanyaswa...

waliotembelea blog