Manchester
United wanapata bao kupitia kwa Phil Jones bao la kichwa baada ya Robin
Van Persie kuachia shuti kali la frii kiki, Katika dakika ya 34. Phil
Jones likiwa ni bao lake la tatu kwa msimu huu. Kipindi cha kwanza Man
United wanaenda mapumziko wakiwa mbele ya bao 1-0 dhidi ya wenyeji West
Brom. Kipindi
cha pili dakika ya 63...
Saturday, March 8, 2014


Klabu
ya Inter Milan imetoa ofa ya paundi mil 20 kwa Chelsea ili kumsajili
mshambuliaji wake mkongwe Fernando Torres. Milan wamefikia uamuzi huu
baada ya maneno ya Mourinho aliyoyatoa wiki mbili zilizopita kuwa
anahitaji kusajili mshambuliaji mpya kutokana na ubutu wa washambualiaji
alionao. Kutokana na kauli hii ya Mourinho mshambualiji huyu amekuwa
hana raha ikizingatiwa kuwa...



Wang’amuzi
vipaji 28 wanakutana Lushoto mkoani Tanga kwa siku saba katika mpango
maalumu wa maboresho ya Taifa Stars ambapo watatoka na orodha ya mwisho
ya wachezaji waliopatikana katika mechi za maboresho hayo zilizochezwa
nchi nzima.
Katika
kikao hicho, wang’amuzi hao watapitia majina ya wachezaji walioteuliwa
ikiwemo kuwaangalia tena kwenye video kwa vile mechi zote zilirekodiwa....


Rank
Teams
PlayedWinsDrawLostGDGoal scorePoints
1Azam FC181170233540
2Yanga SC171151294138
3Mbeya City2099282436
4Simba SC20983173835
5Kagera Sugar2078521829
6Coastal Union19510451425
7Ruvu Shooting19676-52125
8Mtibwa Sugar1967602325
9JKT Ruvu207112-141622
10Prisons FC17386-31517
11Mgambo Shooting194510-171117
12JKT Oljoro20299-151415
13Ashanti UTD193511-191514
14Rhino Rangers192710-11121...



Bodi
ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeipiga faini ya jumla ya sh. milioni moja
klabu ya Simba kutokana na makosa mbalimbali ikiwemo vitendo
vinavyoashiria ushirikina uwanjani. Simba
ilifanya vitendo hivyo katika mechi yake dhidi ya Mbeya City ambapo
imepigwa faini ya sh. 500,000. Pia imepigwa faini nyingine ya sh.
500,000 kwa makocha wake Loga, Selemani Matola na Idd Pazi kuingia...


Jumla
ya wachezaji watatu wametajwa kwenye orodha ya wachezaji ambao wapo
kwenye rada ya Barcelona kusajiliwa mwishoni mwa msimu. Wachezaji hao ni
David Luiz (chelsea), Jan Vertonghen (spurs) na Mats Hummels
(Dortmund). Kati ya wachezaji hawa mmoja ndiye atakayeweza kusajiliwa na
Barcelona ili kuziba pengo la Carles Puyol ambaye ameshatangaza
kuondoka Barca kutokana na...
Subscribe to:
Posts (Atom)