TANGU
wafungwe 4-0 na Chelsea huko Stamford Bridge hapo Oktoba 23, Manchester
United imekuwa Timu pekee ‘Isiyofungika’ kwenye EPL, Ligi Kuu England,
ikimaliza zaidi ya Miezi 5 bila kufungwa zikiwa ni mbio za Mechi 18. Licha
kusakamwa na Mechi kedekede wakiwa Timu pekee wenye Mechi nyingi kupita
yeyote huko England, Jose Mourinho ameongoza Kikosi hicho kwa ufanisi
mkubwa na kuwawezesha...
Friday, March 31, 2017



VPL,
LIGI KUU VODACOM, inarejea tena kwa kishindo Jumamosi hii Aprili Mosi
kwa Mechi 3 na kubwa kabisa ni ile itayopigwa Uwanja wa Taifa Jijini Dar
es Salaam kati ya Mabingwa Watetezi Yanga na Timu ngumu Azam FC. Hakika
Mechi hii ni Bigi Mechi na itatoa mwanga mkubwa kama kweli Yanga
wanaweza kutetea Ubingwa wao hasa kwa vile wapo Nafasi ya Pili wakiwa
Pointi 2 nyuma ya Vinara Simba huku...



Kiungo wa kimataifa wa Hispania anayeichezea Man United ya England Juan Mata jina lake limerudi kwenye headlines baada ya kufanyiwa upasuaji wa groin, Mata ambaye mwanzoni mwa wiki hii alikuwa akilalamika mazoezini kuwa anasumbuliwa na groin amefanyiwa upasuaji.
Taarifa zilizotoka usiku wa March 31 2017 kuhusu kiungo huyo ni kuwa
upasuaji wake...
Subscribe to:
Posts (Atom)