Wednesday, July 22, 2015

Benteke ajiunga na Klabu ya Liverpool Benteke mwenye asema sasa Makombe yaja Liverpool! Mambo safi!! Benteke akitoa dole kuonesha mambo kuwa safi kwake baada ya kujiunga na klabu Mpya ya Majogoo! Sasa kilichobaki ni kupigania namba kati ya  Daniel Sturridge, Danny Ings, Divock Origi, mpya  Firmino Benteke pia amemshukuru Mmmiliki wa Klabu  Ian (Ayre)baada ya kuikacha Aston...

waliotembelea blog